chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,242
- 3,940
Kasome sheria ya utumishi wa umma halafu urudi utuambie umeelewa nini
Tafuteni Ofisi zenu mkajadili siasa zenu , tunafuatilia kwa kina na mtu akibainika hana kazi sheria ziko wazi.
ofisini kwetu makamanda kibao hadi Bosi,cha ajabu kwa ajili ya uoga wanazugazuga kimagamba,ukimkuta mtu kafungua jukwaa la siasa anazuga an switch fasta kwenda jokes na utani.nachekaga saana
Hapa ofisini kwetu jamani imezidi na watu wanajadili siasa mpaka wengine wajiita makamanda. Vipi huko kwenu kati ya magamba na makamanda mambo yakoje? Kwetu hapa ukijulikana ni gamba utakosa raha.
Hapa ktk mkoa wetu watu wanaenda hadi na fulana za chama tawala haswa siku za ijumaa, wafanyakazi wanalalmika sana kwani wanshinikizwa wakipende chama wakikuona wewe mpishi basi hata cheo hupandi au zile safari za posho nyingi hupewi. Ukiingia kwenye ofisi za huku secretary wote ni akina mama wa umri mkubwa kama miaka 50 hivi ukija kijana umevaa nguo ya mikono mifupi na inamifuko mingi huduma unaweza usipate wanajua eti wewe ni Chadema, hivyo nawaomba chedema mbadilishe mavazi.
Kasome sheria ya utumishi wa umma halafu urudi utuambie umeelewa nini
mkuu hio hata ofisini kwetu ipo.. Luna washkaji watatu kwa stori zetu tumeshajuana kama ni watu was jf..
basi ikitokea umemuomba simu mtu Mara lazima awe hana amani:
hapo penye nyeusi, hiyo itakuwa ofisi ya chama twawala hakuna ofisi (umma au binafsi) utavaa minguo ya kijani/njano yenye nembo ya ccm, kijanni, hakuna kubadilisha mavazi hayahaya yanatosha yako poa kichizi!!!!!!!
Hapa ofisini kwetu jamani imezidi na watu wanajadili siasa mpaka wengine wajiita makamanda. Vipi huko kwenu kati ya magamba na makamanda mambo yakoje? Kwetu hapa ukijulikana ni gamba utakosa raha.