Miili 117 yapatikana baharini Libya

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
160526121840_migrant_ship_italy_640x360_rinamilitareviaapphoto_nocredit.jpg

Shirika la Red Crescent organisation linasema kuwa idadi ya miili ambayo imepatikana katika ufukwe wa bahari magharibi mwa Libya imeongezeka na kufikia 117.

Waliofariki wanaaminika kuwa wahamiaji kutoka jangwa la sahara ambao walikufa maji wakijaribu kuelekea Ulaya.

Haijulikani ni lini walifariki.Walibebwa na maji na kuachwa katika ufukwe wa mji wa Zuwara,ambapo maboti mengi yalio hafifu baharini yanadaiwa kuondoka kueleka Italy yakiwa yamejaa wahamiaji.
 
Siasa za Africa ndio zinafanya hawa jamaa kukimbilia Ulaya maisha ni magumu sana kwa nchi kama Za west africa mfano Niger Nigeria Mali mauritania cameroon chad na sudani hasa Darfur
 
Siasa za Africa ndio zinafanya hawa jamaa kukimbilia Ulaya maisha ni magumu sana kwa nchi kama Za west africa mfano Niger Nigeria Mali mauritania cameroon chad na sudani hasa Darfur
Hao walibya walijitakia dhahama kumuua Gadafi kwa kutumika na U.S. wacha waisome
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom