Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,825
Unadhani ni kwanini viongozi hao wa vyama vya siasa na wafuasi wao waliopoteza uelekeo wa kisiasa na kukosa hoja wamekua na mihemko na hasira kupindukia.?
Yaani kwao hakuna jema kabisa, yote ni mabaya tu. Na wanaona kila kitu kinachofanyika nchini ni kiro kwao. Wamejawa chuki isiyo na sababu na wanamchukia kila mwanachi alie kinyume na maoni au mtazamo wao ulioshindwa na kukataliwa na wananchi kisiasa.
Kama mdau wa JF,unadhani mihemko na chuki hizo zisizo na sabababu za wanasiasa hao mamaluki hususani vijana, zinatokana na ugumu wa maisha wanaopitia na unaosababishwa na uvivu wao katika kufanya kazi au ni hasira za kudhulumiwa walichoaahidiwa na vibaraka wao waliowapa kazi ya kuichafua Tanzania?
Nashauri kuanzishwe clinic ya kutuliza hasira na mihemko nonsense ya kisiasa, hususani kwa viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vilivyopoteza uelekeo kwa mfano chadema masalia n.k. Bila kufanya hivyo naona wafuasi wengi wa vyama vya upinzani wanaelekea kupata changamoto ya afya ya akili.
Mungu Ibariki Tanzania