Mihemko ikizidi afanyeje?

Mpikie makande uweke mafuta ya taa! Good morning.
 
Mpe darasa maridhawa la kujikinga na mimba na magonjwa pamoja na jinsi ya kufanya mapenzi,huwezi ongeza idadi ya matango,carrot na ndizi vitamfaa pia
 
Nahitaji msichana wa ndani sifa awe mwaminifu mengine nitamrekebisha mwenyewe
 

Huyo mumeo mchoyo sana!

Ampe hata suna!
 
Mwite Funzadume aje ampatie dawa hutasikia akiangaika tena
 

We mwongo.
 
Na si ilikuwa ikifanya kazi mkuu au??!

100% mkuu, ila nina wasiwasi hata yeye mwenyewe akirudi mgegedo atapangiwa kwa mwezi mara moja
au atapewa lakini ushirikiano utakua F
 
Muache huyo mpe nafas akapate v2 vyake
 
Sema wewe. This is BS! Mdada wa kazi ajitie vidole mbele ya bosi?

Sa mnabisha nini nyie, hamjawah ona, ila siwashangai mana hatamimi nilivomwona nilishangaa, nawashukuru walonipa ushauri mzuri mana nime cam alikuwa ananiudhi sana ila nimeamua nimfundishe kuhusu sex issues the namuacha simuulizi tena ila fact kazijua.
 
One mistek one goli chunga mumeo asitambue hilo wala usithubutu kumwambia coz lazima afanyie hapo zoezi la kutoa bikira kama hakuikuta kwako..
 
Kwanza umeandika unaogopa kumuacha huru, then tena ukasema huwa unasafiri na anakulindia nyumba vizuri....umenikanganya.

Pia mbona maelezo yako yanaonyesha ni kama ana matatizo ya kiakili zaidi kuliko hiyo mihemuko ?
 
Kwanza umeandika unaogopa kumuacha huru, then tena ukasema huwa unasafiri na anakulindia nyumba vizuri....umenikanganya.

Pia mbona maelezo yako yanaonyesha ni kama ana matatizo ya kiakili zaidi kuliko hiyo mihemuko ?

Wewe hujaelewa kwasababu ni fyatu ungekuwa mzima ungeelewa walio nielewa wamenidaidia fyatu
 

kwanza kuna huu msemo mkataa pema pabaya panamwita, pia hakun mkamirifu
kwakuwa umejua tatzo kuwa nu mihemko inamaana ni kipind cha balehe ndo kipo hapo na si kwamba ni malaya

sasa wewe usiwe bosi ambaye anataka faida kwake tu lakini jaribu kumjali naye, ukimfukuza unampa tiketi ya kwenda kufa na UKIMWI. Cha msingi chukua nafasi ya mzazi maana angekuwa ni mwanao ungepata means ya kusolve hilo

Kaa nae chini kama dada, mzazi na rafiki pia. Mpe elimu ya kujitambua kwa kuzungumza kweli kuhusu jinsia na mabadiliko yanayotokea. Utakuwa msaada sana kwake, msaidie na Mungu atakulipa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…