Miguu yangu jama inauma sana naomba msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miguu yangu jama inauma sana naomba msaada

Discussion in 'JF Doctor' started by g.n.n, Mar 14, 2011.

 1. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  habari zenu

  jamani mimi nina matatizo ya miguu hasa mguu wangu wa kulia tatizo linakuja pale ambapo ninakaa kwa muda mrefu au nikichuchumaa na nikiunyoosha mguu unalia koo sa sijajua tatizo likowapi please naomba msaada wako
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Kuna ugonjwa unaitwa arthritis. Ni hali ya kuishiwa vilainisho (lubricants) kwenye maungio ya mifupa. Ikiendelea kwa muda mrefu mifupa inasagana na mgonjwa kupata maumivu makali. Ukiuwahi unatibika. Nenda hospitali ukapimwe mapema iwezekanavyo.
   
 3. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Huhitaji kujiuliza uliza hivyo wakati huu babu wa loliondo ni jibu la magonjwa sugu.
   
 4. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  dont believe to these ppl ambao dawa ni mpaka masharti
   
Loading...