Miguu ya wanawake

Hasomy

Member
Joined
Mar 15, 2015
Posts
87
Reaction score
20
Habarini wanaJf

Is it true wanawake wenye miguu mipana aka chupa ya bia ni watamu kuliko wenye miguu membamba?.Naomba kujua kwani nimekuwa nikisikia eti wenye miguu ya chupa ya bia ni watamu kuliko miguu membamba.
 
Wengi tunapenda muonekano ila kiuhalisia wengi wa miguu minene hawanogi, upate kitu cha wastani ndo mpango
 
Kwahiyo wewe huwa unaiingiza kwenye miguu au? mana hiyo raha unaipataje na uikose kwa wenye miguu membamba?,

Miguu mibonge inaoneza nini kwenye papuchi.
 
All cats are gray in the dark, man..I kid you not, mon ami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…