Miguno, vilio, sauti za mahaba ukiwa kitandani

Miguno, vilio, sauti za mahaba ukiwa kitandani

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
11,763
Reaction score
27,160
  1. Unapenda kusikia zile sauti za mahaba au mpenzi / mwenza wako akizitoa zinakukera?

  2. Ushawahi kukutana na miguno au vilio vya ajabu mpaka vikakushangaza? ilikuwaje?

Mimi najitolea kusema kwa niaba ya wanawake, "wanaume tunapenda mkitoa hizo sauti zenu na mkigugumia na vile vibesi" jitahidini msitulombe kama mabubu. 

giphy.gif

Kwenye simulizi yangu ya mwisho ya “Utamu wa Tunda la kati” nilisahau kuzungumzia hili.
Moja ya vitu ambavyo yule kaka aliwazidi wengine ni kutoa ile sauti nzito ya kiume mambo yakinoga na kunichombeza chombeza. Moto aliokua ananipelekea tayari ulikua unanichanganya, ila ile mihemo na zile miguno ya "mmmh mamaaa" na sifa za hapa na pale vilinimaliza :uwotWater: . 

SOMO LA LEO: Sauti, vilio na miguno inanogesha tendo, siyo wanawake tu na nyie wanaume pia toeni, TUNAZIPENDA!

Ni hayo tu, Alamsiki!
 
  1. Unapenda kusikia zile sauti za mahaba au mpenzi / mwenza wako akizitoa zinakukera? 

  2. Ushawahi kukutana na miguno au vilio vya ajabu mpaka vikakushangaza? ilikuwaje?

Mimi najitolea kusema kwa niaba ya wanawake, jamani wanaume tunapenda mkitoa hizo sauti zenu, jitahidini msitulombe kama mabubu. 

Kwenye simulizi yangu ya mwisho ya “Utamu wa Tunda la kati” nilisahau kuzungumzia hili.
Moja ya vitu ambavyo yule kaka aliwazidi wengine ni kutoa ile sauti nzito ya kiume mambo yakinoga na kunichombeza chombeza. Moto aliokua ananipelekea tayari ulikua unanichanganya ila ile mihemo na zile miguno ya "mmmh mamaaa" na sifa za hapa na pale vilinimaliza :uwotWater: . 

SOMO LA LEO: Sauti, vilio na kiguni inanogesha tendo, siyo wanawake tu na nyie wanaume pia toeni, TUNAZIPENDA!

Ni hayo tu, Alamsiki!
Cc 😡zero iq
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom