Migos ndo ishakwenda, Offset alimt[emoji29]mbea Quavo demu... U snitch wa kiwango cha lami.
Hata wakimaliza tofauti zao nothing will ever be the same again.
Baada ya Migos kuparanganyika nilikua bado naaminia duo ya Takeoff na Quavo, ndo hivyo yaliyotokea yashatokea acha tuwaone waliobaki wakifanya solo