Migomo ya Kenya itaidhoofisha sana Tanzania!

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,906
2,885
Kumekuwa na migomo mingi sana Kenya iliyofululiza tangu ule wa walimu,wauguzi,madaktari na wahadhiri. Kila mwisho wa mgomo huleta nafuu kwa watumishi.

Hii itasababisha watumishi Kenya kuwa na hali bora sana kuliko wa kwetu wanaoogopa kugoma licha ya kufanya kazi kwa kinyongo!
 
Ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji.

Tz tumejaa unafiki na kutishiana maisha.
 
Back
Top Bottom