Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,067
KWA UFUPI
Ujinga si tusi bali ni neno linalomaanisha kutokuwa na ufahamu kuhusu jambo fulani.
Leo nimebahatika kufuatilia mkutano wa Taasisi ya C-SEMA kuhusu mradi wao wa MAARIFA KWA SMS nikagundua hilo.
Pamoja na mambo mengine, nimebaini kuwa wananchi wa mikoani huko wana migogoro isiyoisha kwa kuwa hata haki zao juu ya umiliki wa ardhi kisheria wako patupu.
Ndio maana wawekezaji wajanja kama wakina Manji walikuwa wanatumia huo upenyo kuhodhi maeneo makubwa na hata wakipelekwa mahakamani wanapeta..
Ila hongereni sana C-sema, hii programu yenu naamini imesaidia sana kupunguza tatizo km sio kulimaliza kabisa..
---------------------
YALIYOJIRI KWENYE MKUTANO WA MWISHO WA TAASISI YA C-SEMA KUHUSU MRADI WA [HASHTAG]#MAARIFAKWASMS[/HASHTAG]
Leo Taasisi ya Sema inafanya Mkutano wa mwisho kuhusu mradi wake wa Maarifa Kwa SMS.
Mradi huu ulianzishwa Julai 2015 ukiwa na lengo la kutoa elimu kwa umma juu ya masuala mbalimbali muhimu kupitia ujumbe mfupi wa simu ya mkononi (SMS).
Inaelezwa kuwa jamii imeelimika kwenye masuala nyeti ikiwemo kujua Haki na Wajibu wa kila raia ktk jamii, Katiba, misingi ya utawala bora, masuala ya kijamii (ndoa, mirathi, ardhi n.k.).
Wakiongozwa na C-Sema, wageni waalikwa ni pamoja na;
Taasisi ya RITA, Mwakilishi kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Radio ya Kijamii FADECO, M/Kiti wa Wilaya Halmashauri ya Chalinze, Afisa Ardhi-Maswa pamoja na wadau mbalimbali..
Mkutano unafanyikia Hoteli ya Protea - Court Yard, Upanga Dsm..
Endelea kufuatilia uzi huu nikujuze zaidi...
_________
UPDATES..
C-SEMA wanasema waliamua kutumia mfumo wa SMS ili kuwafikia wananchi wengi kwa haraka.
Pia walilazimika kutuma wawakilishi ktk Wilaya 7 ambao walifanya kazi kubwa ya kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi juu ya masuala mbalimbali yanayowagusa wananchi..
Wawakilishi waliofika ktk Wilaya 7 mradi wanaeleza;
Emmy Mshani(Mbeya): Tulipokea malalamiko mengi toka kwa jamii yahusuyo Ardhi, Mirathi, Ndoa kwa na Haki kwa ujumla.
Yusto(Karagwe): Wananchi waliipokea Elimu na walituomba tuongeze vipengele vya uelimishaji hasa kwa upande wa Afya.
Kelvin (Maswa): Maswa ina Tarafa 3 na kata 36, na zote ilibidi tuzifikie. Tulianza kwa kuwaelimisha watu ana kwa ana.
Kupitia Elimu hii matukio ya unyanyasaji wa watoto na ukatili wa kijinsia yamepungua sana| Elibarick Yusto (Karagwe) [HASHTAG]#MaarifaKwaSMS[/HASHTAG]