i beg to differ: Are u saying vibaka waliouawa nyamongo ni bcos wamenyimwa fursa ya kufaidi raslimali zao?, so unaunga mkono ujinga huu wa wa tz wa kuacha kufanya kazi wakabaki kulalama na kutamani kunyanganya kilichotayari?. Nakuunga mkono kuwa watz sasa watakuwa watumwa na sasa ni tayari"watumwa" bcos wanachuki binafsi na wenye mitaji na hawakotayari kutafuta mitaji ili wajiendeleze na hii ndo maana hata watanzania wengi wenye mitaji hawataki kuwekeza nchini mwao kwa kuwa wanakuwa victims of circumstances. Fumbua macho na chukua hatua sahihi. Usidhani kuwa kumshabikia ndugu yako kwa kila jambo hata kama ni baya ndo kumpenda, tufike mahali tuelezane ukweli.