Tumesikia Kenya ilivyochukua hatua za haraka baada ya katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon kumfuta kazi Luteni Kanali Johnson Mogoa
lazima utakuwa hamnazo!!!
Kimani Ondieki. Sasa imepita zaidi ya miaka 4 tangu katibu mkuu Ban Ki Moon amfute kazi Dr. Asha Rose Migiro lakini serikali ya JK na hii ya JPM hazijachukua hatua yoyote kama walivyofanya majirani zetu Kenya. Kukaa kimya kunatufanya watanzania tujiulize hivi Dr. Asha Rose Migiro alikuwa na uwezo mdogo na alifanya makosa ambayo ilikuwa ni vigumu kwa serikali ya Tanzania kumtetea.
Kama hatua zingine zinavyochukuliwa tunaomba serikali ya Tanzania ichukue hatua na kama imeshindwa itoe TAMKO ili tujue kama alionewa au alikuwa na uwezo mdogo kiasi ambacho ni aibu kumtetea
Sijui watu wengine hawajui au wanaamua tu kuandika ili mradi wameandika. Alikuwa anataka Dr. Migiro awe Nkurunzinza? Basi itabidi Korea nao watoe tamko kwa kuwa Kimoon anaondoka UN.Dr Migiro hakufukuzwa kazi, alimaliza mkataba wake na UN. Na hata Ban ki Moon naye anamaliza mkataba wake. Hakuna kazi permanent UN. Unapewa contact, ikiisha unaweza ongeza. Au usiongezewe kutokana na performance yako.
Labda amehisi huyu wa sasa ni msikivu tofauti na yule mstaafu.Kwa nini imekuchukuwa Miaka yote hiyo kuja na pendekezo kama hilo? Kwa nini usingetoa hili pendekezo punde tu tukio lilipotokea?
Wewe mmbeya tu miaka yote ndo unaleta humuTumesikia Kenya ilivyochukua hatua za haraka baada ya katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon kumfuta kazi Luteni Kanali Johnson Mogoa Kimani Ondieki. Sasa imepita zaidi ya miaka 4 tangu katibu mkuu Ban Ki Moon amfute kazi Dr. Asha Rose Migiro lakini serikali ya JK na hii ya JPM hazijachukua hatua yoyote kama walivyofanya majirani zetu Kenya. Kukaa kimya kunatufanya watanzania tujiulize hivi Dr. Asha Rose Migiro alikuwa na uwezo mdogo na alifanya makosa ambayo ilikuwa ni vigumu kwa serikali ya Tanzania kumtetea.
Kama hatua zingine zinavyochukuliwa tunaomba serikali ya Tanzania ichukue hatua na kama imeshindwa itoe TAMKO ili tujue kama alionewa au alikuwa na uwezo mdogo kiasi ambacho ni aibu kumtetea
Hapana aliwai kabla ya muda wakeDr Migiro hakufukuzwa kazi, alimaliza mkataba wake na UN. Na hata Ban ki Moon naye anamaliza mkataba wake. Hakuna kazi permanent UN. Unapewa contact, ikiisha unaweza ongeza. Au usiongezewe kutokana na performance yako.
Kwani Dr alifutwa? Au mkataba haukuhuishwa?
Teh teh.. Tayari nawe ushaingia mkengeWalitudanganya muda wake wakukaimu ile nafasi uliisha...looh!
Kasikia kwa jirani. Typical Tanzanian! Huyo mama hakuwa anaiwakilisha serikali ilikuwa kibarua chake binafsi. Sasa serikali hapo inaingia je?Kwa nini imekuchukuwa Miaka yote hiyo kuja na pendekezo kama hilo? Kwa nini usingetoa hili pendekezo punde tu tukio lilipotokea?
Umemsahau na aliekuwa mkurugenzi HABITAT yenye makao makuu Nairobi, Anna Tibaijuka.. nae alifukuzwa au ?Tumesikia Kenya ilivyochukua hatua za haraka baada ya katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki Moon kumfuta kazi Luteni Kanali Johnson Mogoa Kimani Ondieki. Sasa imepita zaidi ya miaka 4 tangu katibu mkuu Ban Ki Moon amfute kazi Dr. Asha Rose Migiro lakini serikali ya JK na hii ya JPM hazijachukua hatua yoyote kama walivyofanya majirani zetu Kenya. Kukaa kimya kunatufanya watanzania tujiulize hivi Dr. Asha Rose Migiro alikuwa na uwezo mdogo na alifanya makosa ambayo ilikuwa ni vigumu kwa serikali ya Tanzania kumtetea.
Kama hatua zingine zinavyochukuliwa tunaomba serikali ya Tanzania ichukue hatua na kama imeshindwa itoe TAMKO ili tujue kama alionewa au alikuwa na uwezo mdogo kiasi ambacho ni aibu kumtetea
Umenena vyema, ange google akaona majanga ya Migiro huko UN. Alipeleka uswahili wake kule. IPO article inazungumzia hio ishu. Ya Mama Mongela siifahamu vizuri aiseee inawezekana alipeleka figisu za CCM huko nako! Ccm wanaharibu watu aiseeeKama swala la Dr Migiro lilikuwa ni mkataba kuisha na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa hakuona umuhimu wa kuoongeza mkataba huu wakati hiyo nafasi ilierndelea kuwepo na ilijazwa na Jan Eliasson ina maana alikuwa hamuhitaji tena. Hata ukiisoma CV ya huyo Jan Eliasson utaona kabisa kwamba hakukuwa na haja ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kumwongezea muda Dr Migiro. Lakini kama kuna nia ya kufukua makaburi, mbona hamuulizi kwa nini Mama Mongella alikatishwa ghafla nafasi yake ya Spika wa Bunge la Afrika???
Dah...Kumbe alitimuliwa ! Mungu wangu !!!!
Nshajua unachowaza...Teh teh.. Tayari nawe ushaingia mkenge
Maharage ya siku hizi nafikiri hayafai kuliwa, watu wanavimbiwa ovyo na kuleta nyuzi za ajabu sanaUnataka serikali ifanye nini? Itoe tamko la nini? Huyo Migiro alifanya nini? Taarifa yako haijakamilika na unaandika kama vile wote tuna background info kuhusu kilichompata huyu Migiro na mambo ya protokali .
as per peter' s principleIn a hierarchy organizational or otherwise , we rise or get promoted to our level of incompetence. Migiro anajua hili.