MIFUMO YOTE KUSOMANA DIGITAL ID

Kipindi mitandao ya kijamii inaanza mlikesha makanisani kuipinga mkisema ni mitandao ya shetani,leo mmejazana huko kuomba sadaka.

Unabii umetumia tayari haya ya DIGITAL ID yameshaanza CHINA,tunaenda kwenye cashless money,digital currency,micro chip Neurolink,mRNA technology kubadilisha DNA Yako... chapa 666
 
Ni SAWA kutokuelewa huu unabii SITEGEMEI WATU WOTE WAELEWE NA KUAMINI KUUPOKEA NA KUKUBALI...sio watu wote ni wanaenda safari moja ,wale waliokusudiwa KUAMINI na kuelewa wataamini ,SIO WATU WOTE watakataa alama ya MNYAMA chapa ya 666 WENGI wataipokea na kuifurahia HATA NCHINI CHINA ni wananchi wachache tu walioweza kukataa huo MFUMO..na wote waliokataa kupokea hiyo chapa ya shetani wanateswa na wengi wao ni WAKRISTO.
 
Hata huu MFUMO utakapo anza hapa kwetu sio watu wote wataukataa WENGI watauopenda ,sio watu wote Wana macho ya kuona yale yasiyosemwa ,kusikia yale yasiyosemwa,kugundua agenda za siri zilizofichwa nyuma ya hiyo DIGITAL ID, MICRO CHIP NEURO LINK,NA MRNA VACCINES TECHNOLOGY
 
Akikujibu tafadhali nishtue mkuu.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Hizi stori zilibamba sana miaka zaidi ya 15 iliyopita

NUHU aliwaonya watu WA NCHI yake kwa miaka 120 WATUBU waache dhambi LA SIVYO kuna gharika UNAKUJA kutokana na Hasira ya Mungu juu ya maovu Yao...wakawa wanamcheka kwa kusema HIZI POROJO tumezisikia kwa miaka zaidi ya 100 kwanza hapa kuna ukame ni mvua ya gharika itoke wapi,wakawa wanamuona kama KICHAA..mpaka pale AMBAPO HAWAKUMUONA KICHAA TENA.
 
NOAH WAS CRAZY UNTIL HE WASN'T
 
Chapa kazi achana na hizo historia za Paukwa pakawa
 
Siamini pia katika hii stori
 
Siamini pia katika hii stori

Safina ya NUHU imeonekana katika ugunduzi WA hivi karibuni na imethibitika kwa 💯 % confirmed NOAH'S ARK..
ARCHILOGISTS,HISTORIANS,GEOLOGISTS wanaendelea daily ku proove maandiko ya BIBLIA unayoyaita WEWE stories.
 
Pengine nikiiona io taarifa ntaamini ila kwa sasa naamini ni moja ya stori za kwenye biblia ambazo hazina ushahidi na ziko mbali na ukweli
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…