figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,715
- 59,249
Sasa ni rasmi kwamba Mifumo ya Uchaguzi Tanzania imeparalysis.
Mfano:
CCM ni chama kinachotawala( Chama cha Mapinduzi)
Mchengerwa ni Mpiga kura wa CCM, Mwanachama wa CCM na Mbunge wa CCM lakini ndo anasimamia Uchaguzi ambao CCM inagombea na vyama vingine. Aibu sanaa..
Mchengerwa ni Mkwe wa Mwenyekiti wa CCM na Huyu Mwenyekiti anataka chama chake Kishinde. Ujinga.
Wasimamizi wa Sheria hata wakiiba kura, wakifanya wakitangaza mgombea ambaye hajashinda hakuna cha kuwafanya kwani Sheria inawalinda.
Wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM, wanateuliwa na mwenyekiti wa CCM.
Naiandika hii ili Vizazi vijavyo vijue Nchi yao imepitia mapito gani.
Kizazi hiki tunamlaumu Mangungo, lakini Vizazi vijavyo vitatushangaa sana. Wataulizana iliwekekanaje ukaitwa Uchaguzi?
Watu wanasema nenda Mahakamani. Huko mahakamani unamkuta mteule wa Mwenyekiti wa CCM ambaye simu ikipigwa na Mwenyekiti anafuata Maelekezo.
Soma zaidi: Rostam Aziz: Hakuna mwekezaji atakubali kuwekeza halafu umwambie aende Mahakama ya Kisutu ambapo Majaji wanaweza kupigiwa simu na watu wa Serikali
Kuu wa Polisi anateuliwa na Mwenyekiti wa CCM.
Tunashuhudi jinsi Vyama pinzani vinasurubiwa na Polisi ili Anayefsnya uteuzi afurahi.
Bado naamini Tanzania tutafika pamoja na mapungufu yote.
So huu ni Ujumbe kwa Watoto wetu. Wasiache kutuheshimu ila Utawala wa Sheria ulivyo Tanzania. Kama unataka utawala wa Sheria kubaliana na haya otherwise ingia msituni.
Pia soma; Huu ndio mkataba wa Karl Peters na Chifu Mangungo ulitufanya tunawekwa chini ya Mjerumani