Nimekuwa nikufuatilia sana habari za teknolojia kupitia website tofauti tofauti kama www.pcworld.com Nimeona OS nyingi kama Android Os, Windows Phone 8 OS, Firefox OS, Symbian OS, iOS na nyingine nyingi tu, Lakini iliyonipagawisha hasa kwa kuangalia tutorial zake youtube ni Operating System ambayo wameitoa Linux iitwayo Ubuntu, Kwa mara ya kwanza nilikuwa napenda sana kutumia Ubuntu kwenye PC yangu japo wengine walidai hawaiwezi kuitumia lakini mimi niliipenda sana coz katika kupata virus hawa jamaa wameiprove sana! Bado sijawahi kutumia hii Ubuntu For Phone so kama kuna hata mmoja mwenye nayo aniambie. Nimepata maelekezo ya jinsi ya kuiweka kupitia website yao www.ubuntu.com na ni kwa simu za nexus kama samsung na lenovo, na galax za samsung nahisi hata htc one na sense zitakuwa zina uwezo wa kuweka hii os!