Mifumo kusomana (NIDA-INEC-NECTA)

Mifumo kusomana (NIDA-INEC-NECTA)

Mifumo hii kusomana ni jambo zuri na la kuigwa. Unaweza kupata taarifa popote, muda wowote. Tupunguze ujuaji
Mungu anakuona utajibu mbele zake chochote unachoongea au kuandika,maombi ya kuombea haki na amani yameanza kuleta majibu.Walioshiriki kuandaa mifumo Moja wao kaeleza wazi na kuombea msamaha watanzania.
 
Chama cha siasa kuwa na access ya NIDA pamoja na Daftari la kudumu la wapiga kura huo ni Uhaini.
 
Mungu anakuona utajibu mbele zake chochote unachoongea au kuandika,maombi ya kuombea haki na amani yameanza kuleta majibu.Walioshiriki kuandaa mifumo Moja wao kaeleza wazi na kuombea msamaha watanzania.
Mifumo kusomana ni jambo zuri, tatizo lipo kwenye mfumo upi uusome upi..!! Hebu waza, wewe ungekuwa una uwezo wa kuuosma mfumo wa benki unakotunza hela zako, si ungehamishia hela za watu wengine kwenye akaunti yako..!!???
 
Mifumo hii kusomana ni jambo zuri na la kuigwa. Unaweza kupata taarifa popote, muda wowote. Tupunguze ujuaji
Tupunguze ujuaji? Wewe upo Dunia Yako mwenyewe. Haya hiyo mifumo inasomana na CCM. Wewe unaona ni ujuaji watu wakihoji? Daaaa! Umepoteza muda shuleni Dada
 
Huna cha kufanya kwa sasa zaidi ya kutukiza hilo komwe lako
 
Back
Top Bottom