N.dizzle guy
Member
- Sep 14, 2013
- 27
- 2
Msaada jamani : hivi mnavyoona kunaulazima kwa mwajiriwa kujiunga na mifuko ya pension km NSSF,PPF, LAPF etc.. Na ni mfuko gani wa lazima ambao kila mwajiriwa anatakiwa kujiunga?
Msaada jamani : hivi mnavyoona kunaulazima kwa mwajiriwa kujiunga na mifuko ya pension km NSSF,PPF, LAPF etc.. Na ni mfuko gani wa lazima ambao kila mwajiriwa anatakiwa kujiunga?[/QUO
Ni hiari yako kijana.Unajiunga na mfuko wowote unaotaka.Usikubali kulazimishwa na mwajiri kujiunga na mfuko usiopenda.SHERIA KWA SASA INARUHUSU,WAWEZA JIUNGA PSPF,NSSF,PPF,LAPF,GEPF.HAKUNA WA WATUMISHI WA PRIVATE AU SERIKALI.
Kisheria ni lazima kila mfanyakazi kujiweke akiba itakayomfaa uzeeni pindi atakaposhindwa kujiingizia kipato yaani baada yakustaafu na kwa wananchi wasio na ajira maalum wana hiari yakujiwekea akiba hiyo ila ni hiari yako kujiunga na mfuko wowote wa pensheni kulingana na sera za mfuko husika kuna ulazima mkubwa kujiunga na mifuko hii kwani imesaidia sana kwa kiwango kikubwa licha ya urasim uliokuwepo zamani ambao umeondolewa kwa kiasi kikubwa baada ya mabadiliko ya sheria mbalimbali zakusimamia mifuko hii
Kama una swali la ziada unaweza kuuliza mwenye uelewa zaidi atatoa elim zaidi
Thanks
chek hapo mkuu
Kuna GEPF umeshawah kuusikia uko vizur sana unatoa mikopo mbalimbali kwa wajasiriamali na ndio mfuko pekee wa kwanza tanzania kuanzisha mpango wa hiari kujiwekea akiba uzeeni VSRS ambapo akiba hiyo utaichukua muda wowote pindi upatapo dharura ni tofauti na ile michango mingine ambayo mpaka ustaafu au uchangie kwa miaka 15 ndio unaweza kwenda kuidai