Mifuko ya kukuzia mimea

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,096
Reaction score
1,607
Wakuu,
Kilimo cha mjini kinakua kwa kasi, watu wanakuza mimea kama mboga za majani hadi matunda kwenye ndoo, mifuko ya cement iliyotumika na chochote chenye nafasi ya kuingia udongo.

Kuna mifuko maalumua ya kukuzia mimea inaitwa "grow bags". Angalia kwenye picha, kwa Dar inapatikana wapi wenye uzoefu
 
kwamba hakuna mtu anafahamu chochote kuhusu hii mifuko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…