khomgodlove Member Joined Nov 17, 2018 Posts 33 Reaction score 22 May 16, 2019 #1 Huko Indonesia watalaamu wametengeneza mifuko kwa kutumia mihogo ili kuokoa mazingira ,mifuko hiyo unaweza kuloweka kwenye maji na ukaunywa kama juice kwa taarifa zaidii.....>>>
Huko Indonesia watalaamu wametengeneza mifuko kwa kutumia mihogo ili kuokoa mazingira ,mifuko hiyo unaweza kuloweka kwenye maji na ukaunywa kama juice kwa taarifa zaidii.....>>>
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,275 Reaction score 61,226 May 17, 2019 #2 Watu wana ubunifu sio maprofesa wetu