Oneni
Hatuelewani
Hakuna ulazima wa kupunguza idadi ya mifugo.
Ni kuweka tu utaratibu wa misimu ya kupitisha mifugo.
Kiukweli mifugo katika hifadhi ni moja ya njia borrrrra kabisa ya kuhifadhi hifadhi hizo[emoji848]
Sijachanganya, nnarudia tena kwa lugha nyingine MIFUGO HUSAIDIA KUBORESHA MAZINGIRA YA MAENEO INAPOCHUNHIWA HUKO MISITUNI na hii ndiyo sayansi.
Hata mbunge wa Geita alipoomba hao wahifadhi waambatane na wachungaji ili wakawaoneshe uharibifu unatokeaje huoni waloshindwa? Sayansi ipo upande wa wafugaji. Tena wafugaji wa makundi makuuuuuuuubwa ya ng'ombe.
Msikaririshwe mazingira, mazingira