Mnamchukulia poa sana baba. Unaujauzito mwanaume ana hakikisha unakula vizuri unalala pazuri toto lenye afya linazaliwa linasomeshwa halafu eti baadae linasema nani kama mama. Unakuta jitu zima lenye ndevu linasema nani kama mama wakati limelelewa na wazazi wote wawili . Wazazi wote ni sawa.