John kanu
Member
- Dec 20, 2019
- 30
- 32
Naitwa Shani,mgeni wenu nikarinisheniii nipewe na sheria kama zipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona jina lako ni johnNaitwa Shani,mgeni wenu nikarinisheniii nipewe na sheria kama zipo View attachment 1299925
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona jina lako ni john
Karibu sana Shani.
Upo Mkoa gani wewe.
Weka picha nyingine tuonane vizuri
Sent using my 6x6 bed.
Ha haaa shemela......namfikia punde.Shemela Ulimakafu kuna mgeni huku anahitaji kukaribishwa.
Ewaaa. Shem we ndio Mkuu wa hiki kitengo hivyo karibu zako zinahitajika. 😂😂😂Ha haaa shemela......namfikia punde.
Hiki kitengo changu tu ati shemela.......Ewaaa. Shem we ndio Mkuu wa hiki kitengo hivyo karibu zako zinahitajika. 😂😂😂
Let namba hapa.......Naitwa Shani,mgeni wenu nikarinisheniii nipewe na sheria kama zipo View attachment 1299925
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Sio chako peke yako shem.Hiki kitengo change tu ati shemela.
Jina lako linaleta ukakaksi
Naitwa Shani,mgeni wenu nikarinisheniii nipewe na sheria kama zipo View attachment 1299925
Sent using Jamii Forums mobile app