HALOTEL VAS
JF-Expert Member
- Apr 7, 2016
- 276
- 37
UTANGULIZI
MIDUNDO ni huduma ya muziki inayompa mtumiaji nafasi ya kufurahia nyimbo kwenye simu ya mkononi muda wowote na mahali popote zikiwemo video, miziki, albamu, miito, milio pamoja na picha.
JINSI YA KUTUMIA HUDUMA:
Kusajili
ðKifurushi cha siku: Piga *15574*1# au tuma ON1 au MI kwenda 15574
ðKifurushi cha mwezi 😛iga *15574*7# au tuma ON7 au M7 kwenda 15574
ðUnaweza kupata huduma ya midundo kwa kutembelea www.midundo.co.tz
FAIDA ZA HUDUMA:
ðHuduma inawawezesha watumiaji wa HALOTEL kufurahia miziki mbalimbali mizuri kutoka sehemu mbalimbali muda wowote na popote.
GHARAMA ZA HUDUMA
Gharama za kifurushi
ðKifurushi cha Siku: Tsh 60
ðKifurushi cha wiki: 300 Tsh
Kupakua:
ðWimbo: Tsh.300
ðMlio: Tsh.150
ðMuito: Tsh.400
ðVideo: Tsh.300
ðRadio: Tsh.300
ðPicha: Tsh.100Tsh
Kwa gharama hizi, mtumiaji wa HALOTEL aliyejisajili kwenye huduma atatumia data bure kutazama na kusikiliza nyimbo.
VIGEZO NA MASHARTI
ðHuduma ni kwa watumiaji wa HALOTEL pekee wa malipo kabla ua baada wenye kupiga na kupokea
ðMtumiaji aliyejiunga atatumia data bure.
ðWatumiaji wasiosajiliwa au kutolipia huduma watatozwa kiwango cha kawaida cha tozo.
ðKupakua, kutoa maoni kutuma zawadi kwa marafiki ni kwa watumiaji wa HALOTEL pekee waliosajiliwa.
JOIN WITH US
ð Facebook: VAS Halotel