Midahalo kwa watia nia

Midahalo kwa watia nia

nkonyoka

Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
32
Reaction score
10
Kwa utafiti niliofanya ususani maeneo ya vijijini,midahalo inahitajika sana kwa watia nia wa udiwani na ubunge ili kupima uelewa wa mtu katika nafasi aliyotia nia.

Baadhi ya wanaona kuwa na familia kubwa,pesa,nyumba nzuri anaona tayari ni kigezo cha kuwa kiongozi wakati hajui hata jukumu moja la nafasi anayoomba.
 
Back
Top Bottom