Rev Fr KABOKA mchizi
Member
- Feb 20, 2012
- 93
- 11
Sisi Wachngaji hatutoi sadaka tunakula madhabahuni!asante na ww pia...kumbuka sadaka mchungaji!
Sisi Wachngaji hatutoi sadaka tunakula madhabahuni!
Ndio uwahi sasamie nasali hapa Parokia ya Imaculata Upanga
Naona nitarudi home na hii buku mbili yangu kama mambo ndo hayo.
Mi hapa nimewahi nachati humuhumu church
Poa Kaboka Mchizi..
Na uwakumbushe pia kuvaa nguo nyeusi.. Maana Mamndenyi tayari kashaharibu... Kavaa utadhani anaenda kitchen party!
Bagah kavaa kama anaenda BM Saloon & Hair clinic..
Mkuu gambachovu kuna uzi nilishawah anzisha kuhusu kero ya kuvaa mavazi yasiyo ya ibada, i hope wameshabadilika!
Naona nitarudi home na hii buku mbili yangu kama mambo ndo hayo.
Sisi Wachngaji hatutoi sadaka tunakula madhabahuni!
Hii nimeipenda lol.Sisi Wachngaji hatutoi sadaka tunakula madhabahuni!