Mid salary (ration) kwa watumishi wa umma.

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
4,568
4,963
Naiomba serikali ya awamu ya tano ya RRais John Pombe Magufuli,chini ya wazir wa fedha,itazame kada nyingine ziweze pia kuwa zinapata mshahara ama ration(kama polisi,wanajeshi) katikati ya mwezi.
Hii itasaidia kupunguza ugumu wa maisha na msongo wa mawazo kazini kwa watumishi.
Najua humu ni sehemu ambayo washauri wakuu wa serikali hupita ama kwa yeyote anayeweza alifikishe hili tafadhari.
 
Back
Top Bottom