bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,380
- 6,853
Vitu kama hivyo Microwave, TV, Radio,Blender unaenda kudispose kwa fundi tu. Yeye atajua afanye vipi?
Unamuachia ajaribu kukucheki ina tatizo gani then wewe ndo unapotea moja kwa moja. Teh Teh Teh
Usishangae kuona kwa mafundi wa TV na radio unazikuta nyingi watu wanakuwa wamezispose/ recycle hapo. So do the the same.
Vitu kama hivyo Microwave, TV, Radio,Blender unaenda kudispose kwa fundi tu. Yeye atajua afanye vipi?
Unamuachia ajaribu kukucheki ina tatizo gani then wewe ndo unapotea moja kwa moja. Teh Teh Teh
Usishangae kuona kwa mafundi wa TV na radio unazikuta nyingi watu wanakuwa wamezispose/ recycle hapo. So do the the same.
wanadispose kwa maskini kwa kuwauzia bei cheena hao mafundi wana dispose kwa mafundi wenzao ama?
Kugawana umaskini sio ?wanadispose kwa maskini kwa kuwauzia bei chee
Lakini watu huwa wanafikiria ku-dispose vifaa vikubwa kama microwave, wanasahau hata betri za radio zinatakiwa kuwa dispose in safe way, yaani mahali maalum na si kuzitupa tu barabarani au kwenye majaa ya taka.Nashauri maswali kama haya ya msingi, naomba majibu yasiwe yana ishia hewani. Tuwe tunafikia hitimisho linaloeleweka, ili tuifanye JF iwe ya kutegemewa zaidi.
Katika miaka hii ya karibuni nyumba na ofisi nyingi zimekuwa na microwave ovens ambazo huwa zinarahisisha kazi kwa kiwango kikubwa.
Tatizo linakuja pale linapoharibika, jee disposal mechanism yake inakuwa vipi?
Nimesikia kuna vitu vinatoa mionzi mule kwenye microwave sasa jee tufanye nini?
Kama nchi kuna taratibu zo zote za kudispose vitu kama hivi vya hatari?
Naomba mchango wenu wana fizikia maana mimi ninayo mawili sijui niyafanye nini au niyatupe wapi? Vile vile naogopa kumpa mtu ambaye uelewa wake kuhusu hivi vifaa ni mdogo.
Nashauri maswali kama haya ya msingi, naomba majibu yasiwe yana ishia hewani. Tuwe tunafikia hitimisho linaloeleweka, ili tuifanye JF iwe ya kutegemewa zaidi.
Kutupa microwave oven, soma hapa:
How to Recycle a Microwave Oven - Donate, Recycle, Repair or Break Down for Parts - Don't Let Your Microwave Sit in a Landfill
Microwave Oven Disposal - How to do it.
What's the best way to dispose of a non-working microwave oven?
How to Dispose of Microwave Ovens | eHow.com
How to Dispose of a Broken Microwave | eHow.com
Microwave Oven Disposal
Hii ni mpya kwangu, maybe only in bongo.
Kwa hiyo kama nina kifaa changu nataka kuki-dispose, nakipeleka kwa fundi..mhh..na hao mafundi wana dispose kwa mafundi wenzao ama?
Mafundi huwa wanapiga mkwala eti usipokuja kuchukua ndani ya mwezi mmoja wanapiga bei....