bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,347
- 6,736
Katika miaka hii ya karibuni nyumba na ofisi nyingi zimekuwa na microwave ovens ambazo huwa zinarahisisha kazi kwa kiwango kikubwa.
Tatizo linakuja pale linapoharibika, jee disposal mechanism yake inakuwa vipi?
Nimesikia kuna vitu vinatoa mionzi mule kwenye microwave sasa jee tufanye nini?
Kama nchi kuna taratibu zo zote za kudispose vitu kama hivi vya hatari?
Naomba mchango wenu wana fizikia maana mimi ninayo mawili sijui niyafanye nini au niyatupe wapi? Vile vile naogopa kumpa mtu ambaye uelewa wake kuhusu hivi vifaa ni mdogo.