Microwave oven lililokuwa halifanyi kazi unalitupa wapi?

bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
7,320
6,713
Katika miaka hii ya karibuni nyumba na ofisi nyingi zimekuwa na microwave ovens ambazo huwa zinarahisisha kazi kwa kiwango kikubwa.

Tatizo linakuja pale linapoharibika, jee disposal mechanism yake inakuwa vipi?

Nimesikia kuna vitu vinatoa mionzi mule kwenye microwave sasa jee tufanye nini?

Kama nchi kuna taratibu zo zote za kudispose vitu kama hivi vya hatari?

Naomba mchango wenu wana fizikia maana mimi ninayo mawili sijui niyafanye nini au niyatupe wapi? Vile vile naogopa kumpa mtu ambaye uelewa wake kuhusu hivi vifaa ni mdogo.
 
Inategemea na mtengenezaji-wengine wanakwambia urudishe kwao, wenyewe ndy watajua jinsi gani watadispozi! otherwise mengi yanatuwa dampo tu!!! kama maredio na matv-yote hayo yana madhara na yaatakiwa kutupwa "propale"
 
Guys listen.Mionzi inayopika chakula inaitwa 'microwaves' its in the radioband of the electromagnetic spectrum( meaning its of the same type as the waves entering your radio,but of a shorter wavelength) .Na huanza kutolewa pale tu unapo switch on the device,na sio vinginevyo.So its safe to dispose it on places like where they buy scrap metals and earn some money in the process.
 
Vitu kama hivyo Microwave, TV, Radio,Blender unaenda kudispose kwa fundi tu. Yeye atajua afanye vipi?
Unamuachia ajaribu kukucheki ina tatizo gani then wewe ndo unapotea moja kwa moja. Teh Teh Teh

Usishangae kuona kwa mafundi wa TV na radio unazikuta nyingi watu wanakuwa wamezispose/ recycle hapo. So do the the same.
 
tehe tehe tehe tuhu tuhu tuhu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! I will sleep laughing!!
 
Vitu kama hivyo Microwave, TV, Radio,Blender unaenda kudispose kwa fundi tu. Yeye atajua afanye vipi?
Unamuachia ajaribu kukucheki ina tatizo gani then wewe ndo unapotea moja kwa moja. Teh Teh Teh

Usishangae kuona kwa mafundi wa TV na radio unazikuta nyingi watu wanakuwa wamezispose/ recycle hapo. So do the the same.

Hii ni mpya kwangu, maybe only in bongo.

Kwa hiyo kama nina kifaa changu nataka kuki-dispose, nakipeleka kwa fundi..mhh..na hao mafundi wana dispose kwa mafundi wenzao ama?
 
Nashauri maswali kama haya ya msingi, naomba majibu yasiwe yana ishia hewani. Tuwe tunafikia hitimisho linaloeleweka, ili tuifanye JF iwe ya kutegemewa zaidi.
 
Lakini watu huwa wanafikiria ku-dispose vifaa vikubwa kama microwave, wanasahau hata betri za radio zinatakiwa kuwa dispose in safe way, yaani mahali maalum na si kuzitupa tu barabarani au kwenye majaa ya taka.
 
Katika miaka hii ya karibuni nyumba na ofisi nyingi zimekuwa na microwave ovens ambazo huwa zinarahisisha kazi kwa kiwango kikubwa.

Tatizo linakuja pale linapoharibika, jee disposal mechanism yake inakuwa vipi?

Nimesikia kuna vitu vinatoa mionzi mule kwenye microwave sasa jee tufanye nini?

Kama nchi kuna taratibu zo zote za kudispose vitu kama hivi vya hatari?

Naomba mchango wenu wana fizikia maana mimi ninayo mawili sijui niyafanye nini au niyatupe wapi? Vile vile naogopa kumpa mtu ambaye uelewa wake kuhusu hivi vifaa ni mdogo.

Kutupa microwave oven, soma hapa:

How to Recycle a Microwave Oven - Donate, Recycle, Repair or Break Down for Parts - Don't Let Your Microwave Sit in a Landfill

Microwave Oven Disposal - How to do it.

What's the best way to dispose of a non-working microwave oven?

How to Dispose of Microwave Ovens | eHow.com

How to Dispose of a Broken Microwave | eHow.com

Microwave Oven Disposal

Nashauri maswali kama haya ya msingi, naomba majibu yasiwe yana ishia hewani. Tuwe tunafikia hitimisho linaloeleweka, ili tuifanye JF iwe ya kutegemewa zaidi.

Huwezi kupata hitimisho jf hapa unapata ideas mbali mbali nyingine zinapingana. mwisho wa siku inabidi utumie akili yako kuchagua the best au kuignore the worst. Watu pia wanachangia wakiwa wana view kitu ya kile kile katika angle tofauti na mazingira tofauti.

ukitaka kuprove anzisha thread kwenye jukwaa la elimu ya 1+1= ? uone
 
Hizi njia ni sawa kabisa lakini kwa mazingira mfano ya Tanzania facilities zinazongelewa tunazo?????. Ndio maana kwangu kuliko kuweka microwave/Pasi/ect nje fundi jiko at teja aje aichukue then yeye atafikiria kuuza bati au chuma kwa nini usiende kuidispose kwa fundi yeye anaweza kutumia vifaa fulani vya ile microwave kwa njia endelevu. Fundi akipata Microwave/ friji /TV/pasi tatu mbovu anaweza kufufua moja.

ni maoni tu
 
Hii ni mpya kwangu, maybe only in bongo.

Kwa hiyo kama nina kifaa changu nataka kuki-dispose, nakipeleka kwa fundi..mhh..na hao mafundi wana dispose kwa mafundi wenzao ama?

Mafundi huwa wanapiga mkwala eti usipokuja kuchukua ndani ya mwezi mmoja wanapiga bei....
 
Mkuu ulipotelea wapi?

BTW, microwave mi nili-quit maana nilisoma article moja hapa JF nikaogopa sana, especially kwa vile nilikuwa naitumia kuchemshia maziwa.
 
Asanteni sana wadau nadhani wengi wetu tumefaidika.

Kuna fundi yo yote anahitaji microwave mbovu?
 
Back
Top Bottom