Microwave bei sawa na bure


ok halina jina kivilee ukilinganisha na brand zingine maarufu na zinazodumu vizuri so bei sawa tu.

mleta mada mngemwambia kuwa anauza used na bei anaweka nafikiri kutokana na alivyonunua kabla, bila kuangalia kuwa bei hiyo ndio inanunua hiyo sharp ikiwa mpya sababu ni model imeshatoka tangu. Huwa zinashuka bei baada ya muda hata zikiwa mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…