Hii kitu itakua impressive.Ngojea nichange from now ikitoka niweke order maana hii ni Full fledged PC and powerful beyond any iPad or Android Tablet PC.Tusubirie developers waanze kuweka apps hewani
Mkuu kwa habari nlivozisikia hauna haja ya kusubiri vi Apps, yani any program ambayo sasa ivi ipo katika windows basi utaitumia! In short iyo windows tablet itakuwa na uwezo wa kufanya tasks za computer hasa, unlike android and ios they just perform smartphone task on bigger screen!