yani iwe inatumia mtandao mmoja tu. mfano vodacom tanzania walikuwa wanauza vitochi vya mwaka jana shilingi 25,000 tu lakini vinatumia line ya voda tu.
ina maana wanauza bei ya hasara ila wana uhakika utatumia mtandao wao na kurudisha hela kupitia vocha