Uliyosema ni kweli lakini point
#2 inategemea na pc uliyonayo. Cuz napenda sana Chrome lakini nilipokuwa na PC ndogo (dual core) pc ilikuwa slow kila nilipofungua tabs nyingi (kama 12 au zaidi) ila sasa natumia PC yenye nguvu..... huwa nafungua mpaka 20 tabs kwenye chrome, 12-15 tabs kwenye opera na ninakuwa nastream movie wakati performance ya pc ipo vizuri tu.
Ila on average, narecommend opera v17, ipo vizuri na huwa haisumbui upande wa plugins kama ilivyo mozilla.