Microsoft Shows How IE11 Helps to Speed Up Web Browsing

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
13,436
18,303

The launch of Internet Explorer 11 as part of Windows 8.1 and more recently for Windows 7, brings new ways to speed up the overall web browser experience. One of them involves predicting which web site will be clicked on next by the user and pre-rendering that page ahead of time.

In a new blog post, Microsoft goes over how this is accomplished with IE11. It states:

The predictions are done using our understanding of browsing patterns, user browsing habits, and common cues in Web pages, like “next” links and pagination. Bing’s extensive knowledge of the Web and data mining help make these predictions laser sharp.

If you have IE11 installed, you can check out a demo of how this page prediction method works with a new IE Test Drive website. It features images of European landmarks on each of its pages that have large file sizes that can take several seconds to load in other web browser. However, those same pages are rendered nearly instantly in IE11.

Web site designers can also use a "prerender" tag in links on their pages so that when a IE11 user surfs to the site, the browser can begin to pre-render the page in the background so that it can load quicker when a person clicks on that link. Microsoft says this is accomplished without compromising battery life on a tablet or notebook PC.

The blog also talks about IE11's support for the experimental SPDY/3 protocol, which is also designed to help with page loading times. The blog states, "SPDY/3 implements multiplexing of request / responses on a single connection. SPDY/3 improves page load time by removing the limitation on number of outstanding requests and by using a 'warm' connection for each parallel download."

My Take

  • Mara zote nikijaribu IE11 , huwa sichukui muda huwa narejea Browser zangu pendwa
  • Huwa napenda kutumia Google Chrome na Firefox
  • Je wewe unatumia IE11?
  • Nini kinakuvutia zaidi kwenye IE?
 
Last edited by a moderator:
-tab moja ni kama page 1 hivyo tab ikipata tatizo unaifunga tu ile tab na haitaathiri tab nyengine. kwenye chrome tab zote zinakaa page moja hivyo inakupa matatizo haya.
1. ikikwama tab moja inaathiri zote mpaka u exit na kurudi na kama unafanya kazi ya muhimu inakula kwako
2. moja ya matatizo ya chrome ni unapofungua tab nyingi inakua slow. hapa ina maana internet explorer inasolve tatizo hata ufungue tabs nyingi perfomance inakua nzuri sababu zinakua independent pages

-security. chrome kila mtu anajua mapungufu yake linapokuja swala la ulinzi mtu akija kwenye pc anaweza kuibia password na vinginevyo. ila ie ndio browser ambayo ipo na ulinzi kuliko zote
 
-security. chrome kila mtu anajua mapungufu yake linapokuja swala la ulinzi mtu akija kwenye pc anaweza kuibia password na vinginevyo. ila ie ndio browser ambayo ipo na ulinzi kuliko zote​

Yap hili la ulinzi na usalama nalitambua, hata malipo yangu ya online huwa natumia IE11 au mozilla ila si chrome
 
Thanks to Mozilla FF, I don't have to Use IE.
MS inabidi aache Ubabe wake ndio atanishawishi. Nataka nikitumia rowser mimi ndio niwe in control sio browser :frusty:
 
-tab moja ni kama page 1 hivyo tab ikipata tatizo unaifunga tu ile tab na haitaathiri tab nyengine. kwenye chrome tab zote zinakaa page moja hivyo inakupa matatizo haya.
1. ikikwama tab moja inaathiri zote mpaka u exit na kurudi na kama unafanya kazi ya muhimu inakula kwako
2. moja ya matatizo ya chrome ni unapofungua tab nyingi inakua slow. hapa ina maana internet explorer inasolve tatizo hata ufungue tabs nyingi perfomance inakua nzuri sababu zinakua independent pages

-security. chrome kila mtu anajua mapungufu yake linapokuja swala la ulinzi mtu akija kwenye pc anaweza kuibia password na vinginevyo. ila ie ndio browser ambayo ipo na ulinzi kuliko zote
Uliyosema ni kweli lakini point #2 inategemea na pc uliyonayo. Cuz napenda sana Chrome lakini nilipokuwa na PC yenye uwezo ndogo, ilikuwa slow kila nilipofungua tabs nyingi (kama 12 au zaidi) ila sasa natumia PC yenye nguvu..... huwa nafungua mpaka 20 tabs kwenye chrome, 12-15 tabs kwenye opera na ninakuwa nastream movie wakati performance ya pc ipo vizuri tu.
Ila on average, narecommend opera v17, ipo vizuri na huwa haisumbui upande wa plugins kama ilivyo mozilla.
 
Uliyosema ni kweli lakini point #2 inategemea na pc uliyonayo. Cuz napenda sana Chrome lakini nilipokuwa na PC ndogo (dual core) pc ilikuwa slow kila nilipofungua tabs nyingi (kama 12 au zaidi) ila sasa natumia PC yenye nguvu..... huwa nafungua mpaka 20 tabs kwenye chrome, 12-15 tabs kwenye opera na ninakuwa nastream movie wakati performance ya pc ipo vizuri tu.
Ila on average, narecommend opera v17, ipo vizuri na huwa haisumbui upande wa plugins kama ilivyo mozilla.

mimi main browser yangu ni opera sasa hv. opera next ina feature nyingi za chrome sababu nayo inatumia webkit.

kitu kinachofanya still niwepo chrome ni reverse image search.
 
Chrome naikubali sana ukishaweka account yako inauwezo wa Ku retrieve history , bookmarks n.k hata ukihama computer uki log in to inaleta Kila kitu kama kwenye kama PC yako vile .. inavuta hiki kitu mpaka kwenye cm unakuta iko vile vile .. ina search incognito ambayo ina privacy search history yako kama unataka watu wasijue ulikuwa una search nn .. all in all ina chrome store kuna apps kibao ulishaweka mfano fb , you tube , Google doc , DJ , camera ....unafanya tu one click inaleta unachotaka ... finally design yake ina mvuto Kwa maana unaweza hata kutengeneza theme yako mfano theme yenye picha yako na colours unazozipenda ..
 
That's true
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom