microsoft ametoa software yake ya office kwa watumiaji wa android leo. sema itakua na sharti moja lazima uwe umenunua microsoft 365 ya pc ili uweze kuidownload.
kama kwenu au ofisini munayo ya pc unaweza kwenda kuidownload (nafkiri wameanza na marekani kwanza).
software hii ilishatoka kwa ios sasa imekuja na android
Naam, hapo wamefanya la maana sema hilo sharti lao kidogo naona kidogo litakuwa gumu. Kama vipi bora waiuze tu hiyo app kuliko kuweka masharti magumu hivyo.