"...shouldnt we send a message to Microsoft that we want Windows 8 improved, rather than upgrading, being unhappy, and plugging the holes ourselves?"-HTG
kitu gani kipo kwenye win 7 kwenye win 8 umekikosa?
ni kama unapenda wali na kibakuli cha maharage then akaja mtu akakuletea wali na kibakuli cha maharage na kibakuli cha nyama then wewe ukasusa chakula chote wakati ulikua na uwezo wa kutokula kibakuli cha nyama ukala tu wali na maharage
nime install nimetumia siku kadhaa iko fresh ila majuzi ghafla nikibofya start menu ili ni search kitu ile interface ya start button haitoki mpaka nizime computer na nikiigusa tena mchezo unajirudia
nime install nimetumia siku kadhaa iko fresh ila majuzi ghafla nikibofya start menu ili ni search kitu ile interface ya start button haitoki mpaka nizime computer na nikiigusa tena mchezo unajirudia
"...shouldnt we send a message to Microsoft that we want Windows 8 improved, rather than upgrading, being unhappy, and plugging the holes ourselves?"-HTG
ndio windows 10 inakuja kusolve yote hayo. os ambayo itatengenezwa na consumer badala ya microsoft wao wenyewe. hii preview ni msingi tu then sisi tunaotest tunatoa feedback vitu viwe vipi then final version itatoka april 2015.
lakini watu hawaridhiki na kulaumu ni jadi yetu hawatashiriki kutoa feedback na ikitoka win 10 wataanza kulaumu
hawa nao waache kukurupuka.hivi wanadhani kuongeza tarakimu itasaidia kitu.
kwa sisi wengine,kutokana na nature ya shughuli zetu,piga ua kwa sasa tuteendelea na OS X na WIN5