Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
I think windows XP na Seven ndio zilikuwa bomba, VISTA haikukaa hata muda fulani ikapotea na hii 8 haijakaa hata mwaka wakatoa 8.1 nayo hata haijamaliza muda mara 9 mara 10 na sitashangaa mwezi wa kwanza mwakani wakatoa windows 10.1 au 11. Kiufupi naona microsoft hawapo serious na Operating Systems sasa hivi, mtu anayetumia windows 7 ningemshauri aendelee kutumia hiyohiyo.
microsoft alifanikiwa kwenye win xp enzi zileee akafeli kwenye 2000 na millenium na vista. kwa muda huu bado windows 7 bado ipo juu. nimejaribu win 8 na win 8.1 lakini imenibidi ni downgrade to win 7.
kitu gani kipo kwenye win 7 kwenye win 8 umekikosa?
ni kama unapenda wali na kibakuli cha maharage then akaja mtu akakuletea wali na kibakuli cha maharage na kibakuli cha nyama then wewe ukasusa chakula chote wakati ulikua na uwezo wa kutokula kibakuli cha nyama ukala tu wali na maharage
Mkuu tuache ubishi window 7 ni better na simple kuliko zingine.
how? tupe sababu
We huoni hizo improvements za windows 10 zimefanana Sana na 7 hasa hiyo start menu?
hio ni blend ya 8 na 7 au huoni tiles hapo?
pia kueka start screen kama ya win 7 inachukua dk 1 tu.
Lakini ukweli utabaki window 7 na XP ni best
kama huna reason yatabaki kuwa maneno tu