i411
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 906
- 290
WAtu wamejaa kwenye uzinduzi wa Xbox one.... Naona microsoft wamefanya kazi nzuri. Kitu hiki kinakuja november au december mlimani city somewhere. Bei wameweka $499 kwa US sasa huku kwetu sijui wahindi watatudunga bei gani....
Xbox 360 nayo imeongezewa kiwango kuanzia leo kwa Xbox360 mpya $200 nila kinetic ukiongezea ile kinetic au ukaweka option ya HDD 250GB