Zile Microscope(Jaico Binocullars) kwa ajili y amaabara zimeingia tena kutoka UK,kama kawaida ni dual power zinatumia umeme na zinakifaa cha solar (Included) kwenye Box lake,kama umeme umekatika una-switch to Solar system,wahi sasa ziko chache wateja watano wa kwanza watapata punguzo maalum kwa 800,000/= per piece,kwa mawasiliano piga 0655-880429.