Microfinance

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Jamani naombeni wenye kujua taratibu za kufungua biashara ya kukopesha pesa watu wengine na kudai riba. Watu wengi tunafanya uswahilini lakini ni vizuri tukazifanya rasmi ili kafaida tunakopata tukalipie kodi.
 
anzisha ka lending institution kadogo kenye procedure simple. utapata tu wateja mfano charge riba ndogo na iliopo sokoni
uwe na mikopo ya aina nyingi -ya muda mfupi mrefu nk ya shule ,biashara, ya emergency nk
 
Ndilo wazo nililofikiria, sasa unajua procedures?
 
Ndilo wazo nililofikiria, sasa unajua procedures?
kwani una sh ngapi? maana unatakiwa uangalie na return yake,maana mikopo si mchezo. uendeshaji wa firm yake maana ulivosema yako ni microfinance it meens unaprovide credit to poor income earners ambao hawana access na sehemu zingine kama mabenki na principle ya kuwapata hawa watu lazima ucharge low interest na iyo ndo faida ya mkopo.
 
hii imenivutia nilishafanya kipindi fulani tena kwa riba ndogo mno lakini bado watu wakalala mitini na viji coins vyangu.kwa sasa nafanya training jinsi ya watu kuweka na kujkopesha ila natamani kuanza tena na mtaji mdogo wa kama 1.5m tena kihalali usajiri wake ukoje
 
Hili ndilo swali nililouliza, lakini bebii anapiga lecture badala ya kutuonesha njia
 
Back
Top Bottom