Microfinance zinaibia wateja

Microfinance zinaibia wateja

murume

Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
90
Reaction score
80
Naomba kujua kama kuna taasisi yoyoto ya Serikali inayosimamia (oversight) hizi microfinance kwani Kuna moja naona inatuibia hasa kwa kuwa ina mikataba ya pande moja yaani wakikusainisha mkataba hawakupi muda wa kuusoma na pia copy yako ya mkataba hawakupi, interest kubwa kwa mwezi na ukichelewesha, kurudisha hata kwa siku moja, Wanakupiga penalty na interest juu ya hiyo penalty. Yaanii wanavuna Sana kwenye shida za maskini
 
Halafu mnaokopa ni nyie mnaojiita wasomi na hicho kiingereza chenu cha kuvunjikavunjika
 
Kwani tumewalazimisha?? Mmekuja wenyewe kwa miguu yenu mkiwa mmeambatana na matatizo yenu, kubaliana na masharti tu
 
Mkishakula hela za Watu na hamjui mtazirejeshaje ndo mnajua kwamba mnaibiwa?

Hebu acha janja janja,Kalipe pesa za Watu
 
But to be honest, kama mtu hajui mahesabu hizi microfinance kias flan zinawapiga sana watu.
Asilimia kubwa ya wakopaji, macho yao wanaangalia hela watakayopata bila kuangalia interest. Actually wengi hata ku calculate interest hawajui. Wanadanganywa na marejesho madogo madogo.
I thi k ni wakat muafaka unapoenda kukopa ujue kabisa unachokopa ni nini na utalipaje.
Pia wewe mtoa mada, ni aibu kusema hujapewa mkataba. Kwan walikufunga kamba? Wewe kama mteja ni haki yako kuuliza hivyo vitu vyote before hujamwaga wino.
 
Back
Top Bottom