DITRO YOSIA
Member
- Aug 1, 2016
- 26
- 3
Nahitaji kujua utofauti Kati ya MICRO PROCESSOR na PROCESSOR vinanichanganya nahitaji msaada wenu wadau
Ahsante,kwa kunielewesha mkuukwa dunia ya sasa ni kitu kimoja, zamani ndio vilikuwa vitu tofauti.
soma zaidi hapa
What is the difference between processor (CPU) and microprocessor?