Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,736
- 215,920

Melanie Hamrick amezaliwa Manhattan na sasa hivi yuko kwenye mapenzi na Micky Jagger na wanategemea mtoto.
Jagger alioa na kuacha mara moja lakini amekua katika mahusianontofaut, kati ya mahusiano hayo ni pamoja na mwimbaji na mtunzi wa nyimbo pi mcheza sinema Marianne Faithfullp Huyu ndiye aliendika nae mwimbo wa Sister Morhine uliotoka mwaka 1971.
Alikutana na mdada mzaliwa wa Nicaragua mwaka 1970 na alimuoa 12 May, 1971 kwa ndoa ya Kikatoliki Saint-Tropez, France. Waliachana mwaka 1977 na May 1978 walipata talaka rasim kisa cha kuachana ikiwa Jagger kutokua muaminifu kwa mke wake.

Mwaka huohuo 1977 Jagger alianza mahusiano na Jerry Hall, mwanamitindo mzaliwa wa Marekani, walianza kuishi pamoja na kujaliwa watoto wanne na waliishi Richmond, London kabla ya kwenda kwenye harusi ya watu wachache iliyofanyika Bali, Indonesia November 1990, ndoa yao haikutambulika na Mahakama ya Uingereza 1999 wakati wanaachana.

Jerry Hall ambae ni Mrs Rupet Madoch kwa sasa.
Jagger alianza mahusiano mapya na mwanamitindo L'Wren Scott kuanzia 2001 mpaka alipojiua 2004 na kumwachia Jagger pesa yake yote inayokaribia dolla million 9 US$9 million.