Michuano ya Jumuia ya Madola, Glasgow 2014

Rugby Union

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2012
Posts
402
Reaction score
257


Last Updated: Aug 3, 2014 08:24 PM EAT
​
 

Timu ya Riadha ambayo inawakilisha Tanzania huko Glasgow, timu hii inaongozwa na kocha Suleiman Nyambui.
 

Attachments

  • riadha.png
    41 KB · Views: 748

Timu ya taifa ya Ngumi, Suleiman Kidunda ndiye nahodha wa jumla wa timu ya Tanzania katika Mashindano ya Jumuiya ya Madola 2014.
 

Attachments

  • ngumi.png
    38.1 KB · Views: 583

Timu ya Judo inayowakilisha Tanzania katika Michuano ya Jumuia ya Madola, Glasgow 2014.
 

Attachments

  • judo.png
    35 KB · Views: 545

Timu ya Mpira wa Meza inayotuwakilisha Glasgow
 

Attachments

  • meza.png
    31.4 KB · Views: 525

Timu ya Kuogelea ya Tanzania iliyopo katika Michuano ya Jumuia ya MAdola
 

Attachments

  • kuogelea.png
    21.1 KB · Views: 631

timu ya Baiskeli..
 

Attachments

  • bike - road.png
    12.5 KB · Views: 509
Kama TV za Tanzania hawataonyesha live , itabidi watueleze ni kiherehere gani kiliwafanya waonyeshe live au kuchambua world cup ambako tulikuwa hatuna muwakilishi
 
Ni imani yangu kuwa wamefanya
maandalizi ya kutosha.

Ninawatakia kila la kheri
warudi na medali za dhahabu;
wasituangushe sie tuko pamoja na hao wawakilishi wetu.
 

Uwanjani Celtic Park ambako sherehe za funguzi zinafanyika sasa hivi...
 

Uwanja wa Hampden, ambako michuano ya mbio fupi riadha na kupokezana vijiti itafanyika... Bila kusahau rugby.
 
Maandalizi ya Timu ya Taifa ya Kenya Rugby Sevens ambayo inashiriki Michuano ya Jumuia ya Madola Glasgow 2014
​
 
Last edited by a moderator:
wakati wa kuondoka huwa wanasema wamejiandaa vya kutosha wakatoi wanarudi watasema maandalizi yalikua DUNI
Ni imani yangu kuwa wamefanya
maandalizi ya kutosha.

Ninawatakia kila la kheri
warudi na medali za dhahabu;
wasituangushe sie tuko pamoja na hao wawakilishi wetu.
 
Naona kuna mabadiliko makubwa katika michezo ambayo Tanzania itashiriki mwaka huu! Aidha kilio changu bado kipo kwenye Netball! Lini Tz itapeleka timu ya Netball kwenye michezo hii?

Ukiangalia kwenye riadha, inatia aibu! yaani tunazidi kurudi nyuma... Ushiriki ni marathon na mita 5,000 tu?
 
Natazama sherehe za ufunguzi wa michezo ya jumuiya ya madola, nashuhudia kila taifa limekuwa likijitambulisha kwa mavazi pamoja na miondoko yao ya kiasili, ila aibu ilitokea lilipotajwa jina la Tanzana, wakaingia watu wamevaa masuti na manguo yasiyokuwa hata na rangi za kuutambulisha utaifa wetu.

Tunatia aibu, yaani tumeshindwa hata kutambulisha vazi lolote ambalo ni common kama vile kanga na kanzu.

Jweli nchi yetu haina utamaduni wa kujitambulisha nje?aibu ilioje eti kuna wizara ya utamaduni, usanii mtupu.
 
Nani alikwakbia kanzu ni vazi la kitanzania, na waarabu watavaa nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…