Michoro maarufu

Michoro maarufu

Hapo sasa tunaanza kuelewana.
Kumbe kuna elimu inatakiwa ili kuielewa hiyo michoro?
Ngoja nianze kujifunza hiyo elimu ya michoro.

Exactly.

Unaweza kujisomea mwenyewe historia ya michoro tofauti:

Realism painting (Mona Lisa)
Impressionism (Monet paintings)
Expressionism ( Jawlensky paintings)
Abstraction (John Houston paintings)

Etc.
 
Exactly.

Unaweza kujisomea mwenyewe historia ya michoro tofauti:

Realism painting (Mona Lisa)
Impressionism (Monet paintings)
Expressionism ( Jawlensky paintings)
Abstraction (John Houston paintings)

Etc.

Asante, nitafanya hivyo mkuu.
 
ImageUploadedByJamiiForums1439347329.646710.jpg

Picha hii "Head of a Young Woman" imechorwa na Pablo Picasso mwaka 1906.

Iliibiwa Spain kwa mmiliki na kupatikana na polisi wa Kifaransa katika kisiwa cha Corsica mwezi Julai.

Mchoro una thamani ya Dola milioni 26.
 
Ngoja niungane na wenzangu kushangaa

Dola mil26? Labda kama ilichorwa kwa wino wa dhahabu na kuoewa frem iliyo sheheni madini otherwise naona kichwa kama cha punda tu hapo
 
Marekani imerudisha mchoro wa Pablo Picasso ulioibiwa kutoka katika jumba la makumbusho, Paris, miaka 14 iliyopita.

Mchoro huo "La Coiffeuse" ni wa aina ya cubist. Ulichorwa mwaka 1911 na una thamani ya US$ milioni 15.

Ulikutwa katika meli iliyowasili kutoka Ubelgiji mwaka jana.

ImageUploadedByJamiiForums1439623955.793712.jpg

source:bbc.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom