Michongo ya maendeleo bila maendeleo

kolelela

Senior Member
Sep 2, 2013
173
195
1.Nimeona niseme Leo
Hili nalo ni kimeo
Michango kila leo
Wapi maendeleo
2.umejea upendeleo
Zama za utumwa mamboleo
Mla mla wa Jana kala na Leo
Michango kila Leo
Wapi maendeleo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom