Michoko mwingine jamani!

Hii huwa inatokea mara nyingi sana,hasa kwa wavaaji wa nguo za vitambaa
Namna ya kukabiliana nayo ni kuikagua nguo kabla hujaivaa na hata utakapoivaa jitahd kuvaa na nguo ya ndani kama boxer!
 
Nilijua le mutuzi


Swissme
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Hahahahahaaa... Yupo kwenye foleni anasubiria uteuzi kutoka kwa Mkuu wa Kaya... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…