Michezo

Michezo

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
311
Reaction score
644
Aiseh kweli soka la wezetu limeendelea, uki angalia kikosi chote cha kwanza cha MC Alger wote ni wazawa hata walioko subs 2 tu na ni wa Ivory Coast 🇨🇮 wote!!
EB47B2AC-B161-4BC1-AC3A-3E0002E42A3F.jpeg
 
Hata ukiangalia idadi yamastar wanaocheza ulaya huwezi fananisha na huku.

Mfumo wao wa kukuza vipaji uko vyema sana.
 
Back
Top Bottom