Michezo ya wanaume wa mikoani!!....

Mambo kama hayo mwanaume Wa DSM utamkuta kituo cha polis amekuchukulia RB ..
Huku akitaka umlipe kwa kumtishia kumuua kwa silaha
 
Dar es salaam watu wanabeba wallet, hawabebi mapanga. Huwezi kujua haya kama hujawahi kufika Dar.
Wanabeba wallet wakat kila siku mnahitaji wanaume Wa kuwapumulia?
Yaan mwanaume unajichubua mpaka inakuwa ngumu kutambua yupi mwanaume na yupi mwanamke
 
Wanabeba wallet wakat kila siku mnahitaji wanaume Wa kuwapumulia?
Yaan mwanaume unajichubua mpaka inakuwa ngumu kutambua yupi mwanaume na yupi mwanamke


Jiongeze mkuu, nini panga, kuna watu wanabeba bunduki lakini wanapumuliwa. Hilo ni jambo lako binafsi, hata huko mkoani we pumuliwa tu, sio lazima uje Dar.
 
Hii vita ya wadar na wamikoani imefika patamu!
Ngoja niagize Popcorn za kutosha na Pepsi baridi nishuhudie huu mtanange.
 
Yani mwanaume wa dar hawez hata beba kafimbo kadogo eti wanadai nzito sembuse panga...

alafu wanaume wa dar ni soft copy kuliko dada zao..
 
Yani mwanaume wa dar hawez hata beba kafimbo kadogo eti wanadai nzito sembuse panga...

alafu wanaume wa dar ni soft copy kuliko dada zao..


Walugaluga wa mikoani mkija Dar vibaka wanaona Fiesta. Tena ukitembea na fimbo ndio wanakuona Kipepe lazima wakurukie.
 
Dar hawabebi mapanga wanabeba miguu wa kuku
 
Hii vita watu wa dar wanapigwa hatrick kila siku.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…