VYUO vikuu vya Tanzania vimechemka katikamashindano ya Afrika Mashariki yaliyomalizika kwenye viwanja vya Chuo Kikuu chaDar es Salaam (UDSM), baada ya kumaliza nafasi za mwisho kwenye michezo yote.Katika mashindano hayo yaliyoanza kutimua vumbiFebruari 8, mwaka huu, wenyeji wameambulia patupu katika michezo ya mpira wameza, kikapu, taekwondo, vinyoya, mikono, kuogelea, wavu, netiboli, tenisi nasoka, huku vyuo kutoka Kenya na Uganda vikingara. Tanzania iliwakilishwa navyuo saba huku Kenya na Uganda zikiwa na vyuo 17 kila nchi.Kwenye kuogelea, Chuo Kikuu cha Kampalakilikamata nafasi ya kwanza huku Kenyatta ikifuata na nafasi ya tatu ikiendakwa Ndejje vyote kutoka Kenya, wakati netiboli, Nkumba waliibuka malkia wamchezo huo wakifuatiwa na Kampala na Makerere vyote vya Uganda.KWANINI KILA SEHEMU TUNASHINDWA NA JIRANI ZETU????